Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha wanatiririka tu na hata yeye anageuka kuwa kada?wanahabari mmo humu,twambieni kama hii Ndo taaluma ya kualika wageni wenye mtazamo mmoja? naombeni kujua chuo alichosoma Bernard James,au kajifunza tu utangazaji na ni mwanachama wa ccm sasa anapewa muda wa kukinadi chama?Sidhani kama taaluma iko hivyo.Star TV badilikeni nyinyi ni chombo binafsi,lazima muwe kama wenzenu wakongwe ITV.

Watapiganaaaaa! Lakini hawatashinda. Wacha magamba yafe kwa amani. Muda wao wa kuishi umekwisha. Watajaribu kila mbinu lakini haitowasaidia kitu.Wadau Kwa yeyote aliyeangalia kipindi cha Ajenda 2015 leo tar 27 April, ambacho mara nyingi hufanywa na Dotto Bulendu awe muwazi kuwa Star TV wanatumika muda mwingine na CCM,iweje mtangazaji a alike wageni wote wa mlengo mmoja,halafu na yeye awe upande wao,hana maswali ya kuwabana anaawacha wanatiririka tu na hata yeye anageuka kuwa kada?wanahabari mmo humu,twambieni kama hii Ndo taaluma ya kualika wageni wenye mtazamo mmoja? naombeni kujua chuo alichosoma Bernard James,au kajifunza tu utangazaji na ni mwanachama wa ccm sasa anapewa muda wa kukinadi chama?Sidhani kama taaluma iko hivyo.Star TV badilikeni nyinyi ni chombo binafsi,lazima muwe kama wenzenu wakongwe ITV.
Siipendi CCM ila kwa hili kama unamwonea bure mwendesha kipindi Benard James.
Nimekiangalia kipindi chote na aliyeongea sana ni Mwl. Chacha Kisiiri ambaye siyo CCM na kasema haipendi CCM.
Yule mwenyekiti wa vijana CCM Mwanza kaendelea kuonesha uwezo mdogo aliyonao ktk hicho kipindi.