STAR TV hamko serious!

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Mkihitimisha taarifa yenu ya habari mmetangaza kuhusu mtoto aliyetelekezwa uwanja wa ndege Mwanza.Ajabu mnatuambia anayemfahamu awasiliane na Edita wa Ilemela!Hamjatuonesha picha yake,wala hamjatuambia jina lake!Hamjataja haiba yake wala hata makadirio ya umri wake!kusema 'mtoto' tu haitoshi.Jisahihisheni na acheni usanii kama mliofanya

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
picha ingeonekana wangejitokeza watu ambao sio wazazi halisi.
 
particulars nying wamesema bt picture tu, cjui wew unackilizia wap
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…