Star Times Premium App no charge

Star Times Premium App no charge

Unachotakiw kufanya ni kudownload then kama sign up new account ikidai code za decoder skip
 
KWA AMBAO NI MARA YA KWANZA KUTUMIA AZAM MAX FUATA MAELEKEZO HAYA
1.Download app link nishaituma humu
2.ukiifungua itahitaji uwe na account so sign up
3.weka namba yako ya simu utatumiwa OTP(one time password) ili kuverify number yako
4.Utaweka majina, password,email n.k
5.mwisho ikihitaji card weka skip ao later hapo utakuw tayar ushafanikiwa na utaweza kufungua channel yoyote
 
Laana imfikie yeyote atakae uza apps ninazotoa bure
 
Link ya group la telegram iko. Wapi tujoin mkuuu mwenye nayo naomba tafadhali
 
Nahitaj angalau watu 50 wachague azam au dstv ndo ntaitoa ila now naona msukumo bado mdogo nami nahtaj hizi app ziwafikie watu weng na sio ishu za kuuziana
Unaangalia kwenye simu tu mkuu .

Au kuna mitikasi ya kufanya mtu ukaangalia kwenye tv kupitia hiyo app ?
 
dstv ningetoa email na password tena ina kifurushi cha compact plus tatizo ukiwapa watu nawao wanagawa mpaka wewe uliewapa access wanakutoa
 
KWA AMBAO NI MARA YA KWANZA KUTUMIA AZAM MAX FUATA MAELEKEZO HAYA
1.Download app link nishaituma humu
2.ukiifungua itahitaji uwe na account so sign up
3.weka namba yako ya simu utatumiwa OTP(one time password) ili kuverify number yako
4.Utaweka majina, password,email n.k
5.mwisho ikihitaji card weka skip ao later hapo utakuw tayar ushafanikiwa na utaweza kufungua channel yoyote
Umewaka wap mdau!
 
Back
Top Bottom