Dar ila kule nane nane ni mbali bwana sema ndo hvyo tena maana jiji linakuwa kwa kasi, hv kwa nn waliamua kuifunga ile stend ya hiace ya jamartin na wakati walikuwa wameijenga vzr tu? Pili baada ya ujenzi wa stend mpya ile ya zamani itakuwa inatumika kama nn maana nachelea kusema kwamba biashara nyingi pale zitafungwa kwa kasi ya kimbunga au dream liner.