idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,050
- 1,402
Nimeona waziri Mpango akitangaza kuwa serikali imeipa banki ya Stanbic siku 20 kujitetea kwa nini isichukuliwe hatua za kisheria kufuatia miamala yenye utata kiasi ya shilingi bilioni 6 zinazohusishwa na kampuni ya ushauri wa masoko ya EGMA. Vizuri!
Dukuduku langu ni kwa nini yale mabilioni yalotolewa wakati wa 'tegeta escrow' hayajazungumziwa? ipo wazi kabisa kuwa benki hiyo ilikiuka taratibu katika sakata lile pia. Kuhusu miamala ile (wachilia mbali uhalali wa pesa zenyewe), waziri Mpango unasubiri filimbi ipi tena? Bunge lilimaliza, serikala malizieni.