Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 151
Hakuna cha U saint wala nini, hatuwezi jua moyoni wa Nyerere kulikuaje, hii ni watu tuu wamekaa kujiamulia kikanisa, tutajuaje kama alikau haendelezi mila za kikwao ,story za kifimbo, kuweka watu kizuizini, kuka madarakani muda wote ?
Nyerere na weza kua yuko Heaven kwa kua aliugua akijua ata fariki ,labda alitubu dhambi zake na kusubiri safari ya mwisho, kitu ambacho wote hatukijui alipokeaje moyoni mwake, kwahiyo huu Usaint ni wa kidunia zaidi sio wa KiMUngu Mungu.