julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Duuuh mpaka simu hawataki utumie chuoni???? daaaah aza boy afadhali kuliko sjuit
NAOMBA NIWEKE SAWA BAADHI YA MAMBO
1.Simu unaweza ukawa nayo hata darasani ila matumizi kwa darasani hata kuchati hairuhusiwi,,na baadhi ya maeneo yanayohitaji utulivu,,hata walimu hawaruhusiwi kutumia simu(SHERIA HII INAMBANA MWALIMU NA MWANAFUNZI)
2.Kwa wanaume ni lazima uvae shati lenye kola,,shati lisilo na kola huwezi kuingia darasani watakutoa tu
3.ukiingia maabara ni lazima uvae viatu vyeusi au vya brown na koti husika(kinyume na apo unatolewa)
4.ukikutwa unatazamia au kuibia mtihani mmoja unafutiwa mitihani yako yote.
5.KWA UJUMLA WANATAKA UWE NA NIDHAMU YA HALI YA JUU BILA KUJALISHA UMRI WAKO
NB,,,Mimi ilinipa tabu hapo mwanzo lakini kwa sasa nimeshazoea.....na naenjoy na chuo changu,,,
kuna
asignment-80 kila somo kumi
test-32 kila somo 4
university exam..8
uje ukiwa umejipanga kusoma,,la sivyo patakushinda
Kisongo area,close to Braeburn school Arusha, you are welcome sir

powa kaka maana nami ni mmoja wa candidate niliyechaguliwa kwny hiki chuoyap yap iyo campus ipo ndo nyie mliochaguliwa ktk iyo campus ndo mtakua wanafunzi wake wa awamu ya kwanza i mean nyie ndio mtakua batch namba 1 ktk iyo campus...nenda kasome kijana most all st.joseph college wanatoa best en quality education..u wil neva regret ktk ilo bt jiandae kupiga shule koz hawa jamaa(wahindi)hawataki masihara ktk kusoma...na uwe tayar kuhudhuria clas kila kipind koz st.joseph ndo vyuo vinavyoongoza ktk mambo ya kuitana majina i mean attendanc
yeap attendance ndo kila ki2 ktk vyuo vyao ukiwa below ya 75% ujue unachezea detain na kinachofuata ni break ya mwaka mzima nyumban
Kisongo area,close to Braeburn school Arusha, you are welcome sir
campus ipo, nam hapa naish oposite na campus hyo. ila baadh y majeng ndo yanamalziw kujengwa na soon watakua wamemalza, ucjal mwanzon hakikuwep coz walkua hawajawka baadh y vtendea kaz, na kw sas washamalza.
mi naishi very cloz one day niliamua kuvizit pale nikakutana na muhind pale wanaswagaa za ajabu mbayaa wanadai watatoa hadi bachelar kwa mtu aliyemaliza fom fo na kupata d nne kwa miaka mitano sa sijui elimu ya bongo ndo inaanza kushuka mdo mdo mi sielewii