Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.chuo cha mtakatifu joseph cha sayansi na tecknolojia kilichopo Dar maeneo ya mbezi kimara.kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma kuna wanafunzinzaidi ya 700 walihamiahiwan tawi la Dar es salaam.lakini inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio tambulika na serkali.mgogoro huo serikali iko kimya haijaingilia kati.lakini inaonekana kuna kitu wanfanya hawa wahindi wa chuo kunyamazisha serikali.kwa hiyo inaonekana ukisoma St.Joseph
Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.
Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.
Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.
Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
Kwani university zina mitaala ya serekali? Hahahahhahhchuo cha mtakatifu joseph cha sayansi na tecknolojia kilichopo Dar maeneo ya mbezi kimara.kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma kuna wanafunzinzaidi ya 700 walihamiahiwan tawi la Dar es salaam.lakini inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio tambulika na serkali.mgogoro huo serikali iko kimya haijaingilia kati.lakini inaonekana kuna kitu wanfanya hawa wahindi wa chuo kunyamazisha serikali.kwa hiyo inaonekana ukisoma St.Joseph
Ni kweli hapo nimeteleza, siyo duniani kinaheshimika kwa wahindi ktk kutoa mainjinia wazuri na teknolojia, nami sina uhakika na wanaochukua Education.Mkuu kwenye "kuheshimika kwa sasa duniani" nimepata ukakasi kidogo hila usinifikirie vibaya
Acha kudanganya umma, eti kinaheshima duniani, kwa vigezo vipi,mtu anasoma mechanical engineering hana hata workshop ya kujifunza kwa vitendo, mpaka leo chuo hakijawahi andika hata research paper yeyote kuhusu science then mnajiita college of engineering, ki ukweli kama unasoma ST.joseph university unapoteza muda tu.....hakuna chochote zaidi ya kuitana attendance na kuvaa shart zenye kola utadhani hivyo ndio vinavyosoma.Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.
Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.
Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.
Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
ma data star ndo nini ?... ma data star kujitangaza kwenye tv ...
St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe......
.
Lecturer vs StudentKama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.
Siku chache zilizopita waziri Ndalichako alikuwa hapo chuoni wakati mmegomea mitihani ya semester ya kwanza akawananga mkaonekana majuha hamjui hata mnachogomea mkaingia kufanya mitihani, eti madai mtaala wa sayansi ni wa India wakati biology na Physics dunia yote ni hiyo hiyo, hata uende Amerika ni hiyo hiyo si mngemgomea Ndalichako moja kwa moja kama hamkubaliani na mtaala mnaosema ni wa India? Mmekalia majungu tu.
Acheni ujinga kama mmeenda kusoma someni msihangaishe wazazi wenu. St Joseph collage of Engineering and Technology cha Dsm ni moja ya vyuo vinavyoheshimika hivi sasa duniani wewe unatuletea uongo wako hapa.
Wewe kama msomi bainisha sababu za nguvu za kukiponda chuo cha Dar siyo unaparaza juu juu. Kwa vyuo vya Songea na Arusha sina tatizo na wewe vilikuwa na udhaifu mkubwa uliochangiwa na TCU yenyewe, ila anayeona hakubaliani na material ya chuo cha St Joseph ya Dsm arudi kwao kama alivyojipeleka mwenyewe.
Fafanua mkuu.Hichi chuo nacho ni jipu chapaswa kichunguzwe!
Yaonekana una maslahi hapo. Chuo uozo kabisa wahindi cku zote wababaishaji tu.Kama unasoma au ulipitia hapo St Joseph inaonyesha dhahiri tatizo si chuo tatizo ni wanafunzi. Sasa kama wewe hiki ulichoandika hapa kina logic gani? kimekaa kama unafiki ama uongo au ni majungu na hata ujinga tu wa kutojua pointi gani ulizotakiwa uandike.