St. Joseph College of Health and Allied Science

St. Joseph College of Health and Allied Science

Unatafta link ya nini wakat wamewajulisha kwenye profile zenu

mbona kwenye profile yngu hamna jipya bado naona ~Waiting for approval~ vp kwako kuna updates gani mkuu naomba utujuze
 
wakuu mi mda si mrefu nimepokea sms toka kwa DMI wa st joseph .......vp wadau wengine wamepata ivyo.....
 
mbona kwenye profile yngu hamna jipya bado naona ~Waiting for approval~ vp kwako kuna updates gani mkuu naomba utujuze

Me wameshaniinform nikachukue joining report so profile yangu haina kazi tena
 

Attachments

  • 1444652969601.jpg
    1444652969601.jpg
    20.6 KB · Views: 253
naomba kujua gharama za hostel private kwa wanaume zikoje, na vyumba katika maeneo hayo ya boko vikoje(vyumba binafsi mbali na hostel za watu binafs)
 
Hivi hakuna aliyekwisha chukua joining instruction ya chuo chetu SJUCHAS ili atujuze ni lini registration inaanza?
 
Hivi hakuna aliyekwisha chukua joining instruction ya chuo chetu SJUCHAS ili atujuze ni lini registration inaanza?

Joining instruction wanaanza kutoa kesho tusubiri
 
Hivi hakuna aliyekwisha chukua joining instruction ya chuo chetu SJUCHAS ili atujuze ni lini registration inaanza?

naisi kuanzia kesho ndo wanaanza kutoa kulingana na maelezo yao............but watakao chukua mapema tunaomba watujuze vitu muhumu maana si wengine tupo mkoa kuja dar adi next week............

NAWASILISHA
 
Nimeambia vyumba self contained laki moja .
Vya kawaida n elf 60 adi 70 simchezo duhh
 
Nimeambia vyumba self contained laki moja .
Vya kawaida n elf 60 adi 70 simchezo duhh

hahaa duh kazi ipo kwel kwel......lakini c vpo karibu na chuo au??
alafu iyo self ni kimoja tu kwa laki au n viwili? na ni hostel binafsi au vyumba tuh vya mtaaa......??
 
Back
Top Bottom