ok shukrani kwa TaarifaNmeongea nao jana wamesema eti mwisho ijumaa
Pamoko xana
Kaka niliku pm vipi umeisomaVipi mkuu naona una raha sana baada ya heslb kukupa mkopo!.
O-lvl private, A-lvl gvmnt, nmechaguliwa electroncs and communications engineering vipi apo mkopo ntapata kama asilimia ngap hv
[QUaOTE=tzbway;14188108]Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration
uzi unakufa wadau kimya
Mwisho kesho[/QUOTE]oya mwisho wa.kurpoti ni lin maana bado nashugulikia pesa
Mwisho kesho
Mwisho kesho
mimi nikienda juma tano ntapokelewa kweli ?