rodgers mbwana
Member
- Sep 22, 2015
- 31
- 4
Jamani haka kachuo ndo kako wapi tena??
Jamani haka kachuo ndo kako wapi tena??
Kwan VP mkuu? kipo morogoro hicho chuo ni tawi la SAUT
bado hawajatoa hawa jamaa?
Ndo kusema dharau sana au veepeee....dat z not gud kwan ungesema hiki chuo instead of haka kachuo ingekuaje kwa mfano?Juct try to use lugha iliyo polite na sio ya dharau pengine ndo chuo kitakachokupa degree
Jamani haka kachuo ndo kako wapi tena??
Jamani haka kachuo ndo kako wapi tena??