st.johns university (dar) inatupotezea radha ya chuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

st.johns university (dar) inatupotezea radha ya chuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kingo de bwax, Oct 15, 2012.

 1. k

  kingo de bwax Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah! yaani hiki chuo administration yao mizenguo,hawaeleweki sielewi kama patatosha kwa upande wangu na kwa wengne
   
 2. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Wewe huna haki ya kuilalamikia administration ya chuo maana hata wewe hueleweki. Hili ni jukwaa (forum), huwezi kusimama jukwaani halafu ukaanza kujiongelesha mwenyewe. Lazima uhakikishe hadhira inakusikia na kukuelewa. Hapa hujatuambia kwanini unaona administration ni mizenguo na haieleweki. Umeweka malalamiko tu. Hili ndilo tatizo la vijana wetu wengi, hawawezi kujieleza hata kwa lugha wanayotumia kila siku-Kiswahili.
   
 3. k

  kingo de bwax Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ndo unajua matumiz ya lugha? kwani nilikuomba msaada? hakuna aliyezaliwa anajua ww usijione much know
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  lugha za kueleweka na fikra zenye busara ndizo zahitajika humu JF.
   
 5. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  mwaga malalamiko yako tukusaidie au tukatoe ushauri uongozi wa juu. sisi wengine ni wadau wa hicho chuo
   
 6. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  funguka vizuri watu tukusaidie. humu JF hata hao watawala wa chuo chako wanapitia kwa hiyo uwe muwazi ili wajue tatizo lao na jinsi linavyokathiri.
   
 7. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ... Facebook generation ni JANGA kwa nchi maskini.
   
 8. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  hueleweki wewe ndio mana umefeli form six
   
 9. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Acha utoto. Kwa reasoning hii, kweli unahitaji shule, tena si ya chuo kikuu.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili jibu na post ya mleta mada huitaji kuuliza zaidi maswali..

  tatizo humu hawajui kama kuna wakubwa zao wanaona kila mtu ni mkidi tu ngoja apate msaada kwa wenzie..
   
 11. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  ..Basi hukua na haja ya kuanzisha thread, ungandika tu kwenye diary yako. Usione unakashfiwa, ndiyo ukweli wenyewe-ukijua udhaifu wako, unakuwa na nafasi nzuri ya kujirekebisha.
   
 12. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Sasa kijana wakati unawaza mambo yako usiwe unafungua na browser, maana siku utaandika matusi alafu utasema "kwani nimekutukana wewe"
   
 13. k

  kingo de bwax Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekubali nimekosea wakuu
   
Loading...