labda UDOM ya 2007 c o ya sasa! huo ujumbe waliweka kipindi kile chuo kikiwa na changamoto nyingi hasa baada ya wanafunzi wanaosomea biashara ka ckosei kugoma kwenda field nadhan!ila kwa sasa kwe interview mbona wapo wengi tu wanashindana na wa vyuo vyengine"We are welcoming all applicants with exception of students from The University of Dodoma (Due to the internal criterias we need)"
And jamaa unasema UDOM are doin better, nigger u serious? Reason inayofanya Saut wasiwe na discontinuation kwa wasiofikisha alama ni kuhakikisha wanakusaidia taratibu hadi ufikie kiwango cha wewe kuwa na elimu, sio kukufukuza, ili uende wapi?
Next time jitahidi kuwa na uchambuzi yakinifu kabla ya kuandika.
No offense, but you're an IDIOT.
Thanks
Ila SAUT kina wadada wazuri kuliko UDSM na UDOM. kwa hili la GPA in the beauty category hakina mpinzani, labda kidogo IFM
SAUT ni janga la taifa kitaaluma. Mwanafunzi ndiye mfalme. Chuo kinachotegemea fees kujiendesha unategemea nini?
Lundika vilaza, waleelee wasiondoke, kusanya ada, wapatie GPA za juu ili vilaza wengi wamiminike kuja kuzoa vyeti vizuri na Chuo kizidi kuwepo. Hata lecturers wao ni wa kuungaunga.
Wamejaa wanateolojia na wafalsafa lakini eti ndiyo wahadhili wa education, mass communication, law, etc. Janga hili lazima sasa lichunguzwe kabla halijaliangamiza taifa.
Hakina utofauti na Ifm chenye mitihani yao ya multiple choice na matching items..
Acha uongo ww ud penyewe matching item kibao
Reasoning yako ya ajabu sana! Kwani ukisoma teolojia na filosofia huwezi kuwa lecturer? Pale UDSM kuna mwalimu amesoma teolojia na filosofia na anafundisha development studies. Je, unasemaje? Kuna mwingine ni head wa department na amepata PhD yake Birmingham University. Kwa hiyo, hawa wasifundishe kwa vile katika baadhi ya masomo yao walisoma philosophy na theology? Kuna mwalimu mwingine pia Peter Mataba - amesoma philosophy na mass com, sasa asifundishe kwa vile kati ya masomo aliyosoma ni philosophy au theology? Maana reasoning yako ndivyo inavyosema.