St. Agustine University masomo yanaanza lini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Wa jf naomba kujua, lini masomo yanaanza kwa mwaka wa kwanza 2016/17 chuo cha SAUT?
 
Taarifa aliyotumiwa kijana mmoja ni October 18, 2016. Sidhani kama taarifa hii iko kwenye site yao.
 
Saut hawaweki information zozot kwny website yao ata joining instruction ya 2016_2017 haipo msimalaumu kijana wa watu saut wako incompetent
 
Kizazi gani hiki ambacho km kimewezs kuingia jf nakuulizia kinashindwa nn kuangalia joining instruction kutoks kwenye website ya chuo huska?
Daah.... kaka mimi nina uhakika nina akili kuliko wewe. joining instr iko silent, inataja trh 3 na 11 ambazo sio kweli kutokana na TCU second and third rounds selections. Hivyo calenda za vyuo zimevurugika. nikiwapigia cm hazipokelewi. kwa majibu yako haya you must be stupid kind of jf member. If you do not have the answer better remain mum
 
Saut hawaweki information zozot kwny website yao ata joining instruction ya 2016_2017 haipo msimalaumu kijana wa watu saut wako incompetent
Sio kweli kila information ipo kwenye website wewe fungua utaona
 
Daah.... kaka mimi nina uhakika nina akili kuliko wewe. joining instr iko silent, inataja trh 3 na 11 ambazo sio kweli kutokana na TCU second and third rounds selections. Hivyo calenda za vyuo zimevurugika. nikiwapigia cm hazipokelewi. kwa majibu yako haya you must be stupid kind of jf member. If you do not have the answer better remain mum
Chuo kilifunguliwa since tareh 11 so kama wewe umechaguliwa saut nenda chuo ndugu coz selection zimechelewa kutoka na pia zipo kwa awamu tofauti tofauti nakushauri nenda chuo sasa wenzio wameshaanza kusoma
 
Back
Top Bottom