Ssra

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,296
wadau naomba mwenye info za uhakika kuhusu pale SSRA maana nilituma maombi naona kimya sasa sielewi kama walishaita na je walishaita nafasi zote? mimi niliomba nafasi ya PR
 
Usiwe na wasiwasi,kama upo utaitwa tu.Wakati mwingine huwa tunakuwa na wasiwasi kumbe organization inakuwa imesitisha ajira au haina pesa tena ya kuajiri au kibali cha ajira kime-expire kwa wenzetu wa serikalini etc.Kuwa mpole,punguza majoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom