SSRA, PPF, NSSF hawasomeki

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani masikini. Hata tuhela twao sumuni nato wanataka kupora chini ya uratibu wa SSRA.

Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako. Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!?

Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani? Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeanza kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?

Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo. Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?

This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.

Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi. Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
 
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani ma

Mbaya jiwe trust me
 
Huenda sheria zikawa mbovu, lakini kimsingi, dhumuni la ile pesa ni kuja kukusaidia wakati ukiwa hauna uwezo wa kufanya kazi kwa kigezo cha umri au ulemavu.

Mazingira ya hapa kwetu yanaweza kuwa sio rafiki na tumeshazoea kwamba naweza kuacha kazi nikaichukua ile pesa kufanyia mambo mengine, hiyo ni kinyume na uanzishwaji wa hiyo mifuko.
 
Ujanja ni kujilipa mapema ukiwa bado upo kazini
 
Hivi mtu kama akistaafu anapewa pesa yake yote au ndio nusu nusu, naomba kujua hilo?
 
Hatunywi sumu
Hatujinyoongiiiiiiiiiiiii
Sisiem mbele kwa mbeleee
Mmeitaka wenyewee, mvimbe mpasuke
 
Mifuko ya jamii ai ndiyo hela zetu wanjenga hizo complex kama miradi ya kuingiza kiasi cha pesa...wanapata wap pesa zai kulipa fao la kujitoa kila mwanachama and then wekuja na hili fao la kutokua na ajira tho ili fao utakua unalipwa kwa awamu kweli inasikitisha
 
Binafs sijawahi kufurahishwa kabisa na huu utaratibu,cha ajabu ni lazima na nijuavyo mimi ukilazimishwa kitu ujue hakina faida kwako ila kwa anayekulazimisha, hebu leo waseme no hiyari I swear hakuna atakayebaki.
 
Hawa SSRA ni mbw... kabisa wameshatekwa nao, leo PPF hawajawalipa wazee wote etc pesa hamna, acheni ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…