Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,427
- 17,900
Ligi kuu ya nchini italia almaarufu Serie A inaendelea leo na Vilab vya SSC NAPOL na AC MILAN vinakutana leo kwenye dimba la san paulo mjini nepol. Kocha wa milan Clarence Seedorf anakwenda kukutana jaribio la kweli tangu toka kwa moja ya makocha bora barani ulaya hapa namaanisha Rafael Banitez.
NAPOL klabu iliyopata kuchezewa na mwanasoka bora kabisa kupata kutokea dunia yaani i mean Diego Maradona,baada ya kunyukwa 3-0 na Atalanta, na kupokea kipigo kingine toka kwa AS ROMA cha mabao 3-2 kwenye copa italia, leo usiku watakuwa na kazi moja tu ya kuivuruga Milan ambayo inaonekana kusumbuliwa na ugonjwa wa mdondo unaoisumbua pia manchester united, na iliyosumbuliwa na timu dhaifu na kupata ushindi wa tabu dhidi ya vibonde calgiari wa 2-1
Mechi tano za mwisho AC MILAN walipigwa mbili na kutoa sare mara 3. Matokeo yalikuwa hivi:
Milan 1 Napoli 2
Milan 1 Napoli 1
Napoli 2 Milan 2
Milan 0 Napoli 0
Napoli 3 Milan 1
mpambano utapigwa leo sa 4:45 usiku kwa saa za kibongo. Tukutane pale san paul leo usiku
cc: Gang Chomba, juve2012, Mourinho, Belo, bologna
Utabiri wako?
hawa wagonjwa leo tunawabandika 2-0.
Sio kama Liverpool anavyombaka Arsenal?
Draw will be fair result
seedorf kama mchezaji wa milan 2003-2005 alikutana na Rafael Banitez akiwa kocha wa liverpool kwenye champions league mara mbili, ambapo seedorf kama mchezaji alipata ubingwa mara moja. Na Banitez kama kocha alipata mara moja. Leo wanakutana kama makocha, mmoja mzoefu miaka mingi mwingine anauzoefu usiozidi mwezi mmoja. Ndugu yangu Belo we unategemea nini kama c kipigo cha ulimboka?
Napoli hawapo kwenye fomu kwa sasa,mechi 5 zilizopita wameshinda mechi moja tuseedorf kama mchezaji wa milan 2003-2005 alikutana na Rafael Banitez akiwa kocha wa liverpool kwenye champions league mara mbili, ambapo seedorf kama mchezaji alipata ubingwa mara moja. Na Banitez kama kocha alipata mara moja. Leo wanakutana kama makocha, mmoja mzoefu miaka mingi mwingine anauzoefu usiozidi mwezi mmoja. Ndugu yangu Belo we unategemea nini kama c kipigo cha ulimboka?
Napoli hawapo kwenye fomu kwa sasa,mechi 5 zilizopita wameshinda mechi moja tu