ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Inauzwa kwa tsh 130,000 nipo dar,nicheki WhatsApp 0765428633
Saa ya kipelelezi njoo WhatsApp 0765428633Ni nini.,?picha haifunguki
Ninazo mkuuPoa tunazitafuta hizi sana
Inatumia memory card,inafanya kazi yenyewe hata bila kuunga na pc,au unaweza unga na pcweka maelezo yakutosha kumvutia mteja
Subiri wanaozihitaji waje mkuu...Inauzwa kwa tsh 130,000 nipo dar,nicheki WhatsApp 0765428633
Post ni ya leo mkuu na mzigo bado upoNADHANI ZILIISHA HIZI MAANA HII POST NI YA ENZI NA ENZI
Mikoani mnao tawi?Post ni ya leo mkuu na mzigo bado upo
We upo wapiMikoani mnao tawi?
SORRY SANA MZEE MWENZANGU UNAJUA NILIANGALIA VIBAYA KUMBE TAREHE NILIYOANGALIA HAPO JUU NI HIYO TAREHE ULIYOJIUNGA HUMU....KUMBE NIMEANGALIA KIMAKENGEZA MAKENGEZA....BUT BEI KUBWA SANA MZEE MWENZANGU...Post ni ya leo mkuu na mzigo bado upo
R chuga, Arusha,ila bei ungepunguza mkuuWe upo wapi
Kama unataka pc zaidi ya moja nicheki WhatsApp 0765428633 tutaongeaR chuga, Arusha,ila bei ungepunguza mkuu
Nipo dar tabata mkuu ila unaletewa popote kwa hapa darNataka moja, niambie unapatikana wapi boss?
Laptop hapana ninayo ToshibaKama unataka pc zaidi ya moja nicheki WhatsApp 0765428633 tutaongea
Namaanisha spy watch zaid ya mojaLaptop hapana ninayo Toshiba