usedphotocopytz
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 174
- 23
- Thread starter
- #21
Nataka za vifungo vya shati,hizi za pen washastukia maana ukiweka kwenye mfuko Kama wanavyowekaga watu wa UWT unastukiwa.
update:ukileta hidden cam zilizo ktk hali ya kifungo cha shati au zilizofichika ktk swichi kama zile za umeme unifahamishe au zilizo wekwa katika bolt kama ya kufungia vitanda n.k
MZIGO UMEINGIA KWA WALE WALIOKUWA WANAHITAJI SPY PEN ZIMESHAKUJA NA ZIMEKUJA ZA GB 8 BEI IMEZIDI KIDOGO TU NI SHS 55,000 TSHS wahi ujipatie yako sasa