hillman
Senior Member
- May 28, 2014
- 159
- 45
Jaman wadau, napenda kujua mtu mwenye uelewa mkubwa wa magodoro, kuna aina ngap ya magodoro ya spring, brand ip ni imara zaid, ni kwel qfl dodoma wana spring mattress? Na bei kwa dukan ya spring matress futi 5 kwa 6 inch 8 n shilling ngap? Na je magodoro haya ni imara kuliko mengine ya kawaida?