MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,005
Sportpesa imepata kibali toka the Gaming Board of Tanzania... Sasa italeta uahindani kwa MBET, PREMIER BET, MKEKABET na MERIDIAN..., Habari njema kwa Vijana wanaopenda kubeti
Makampuni ya Betting na Mabenki njooni muwekeze Kenya pia....!!
Kenya hamna benki ya Tz(CRD ,NMB AU NBC to mention few, wakati wao KCB na Equity zimetapaa Tz
Tuamke!
Makampuni ya Betting na Mabenki njooni muwekeze Kenya pia....!!
Kenya hamna benki ya Tz(CRD ,NMB AU NBC to mention few, wakati wao KCB na Equity zimetapaa Tz
Tuamke!