Spika upo uchi, chutama

Spika Zitto humuwezi ona sasa alivyookuumbua. Zile facts 10, chutama mzee mzima aibu.
 
Mbiombio kukabizi ripote ya kamati ya bunge kwa mh Rais hapa tayari Ndungai alishavunja kanuni tu ndiomana wantanzania hatuna tena imani na spika kama bunge limeikabiz serikali bilion 6 kwa kubana matumizi wakati kamati za bunge zinaukata wa pesa za kufanyia kazi zake hu ni wendawazimu yani kwakweli mbungeletu halina tena hazi ya kijisimamia kama muhimili
 
Anazidi kupagawa na kujipendekeza maana akisikia kuna tamasha la ngoma huko anajua binti anachukua jimbo soon awe full speaker na anajua binti akichukua form yeye hana lake.......atakuwa speaker mstaafu akiwa bungeni......!!!!!! Njaa kichwani......ubongo hakuna kazi
 
Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana
 
Kuna vitu viwili vya msingi hapo

1. Ni Ndugai kumconsult Rais kabla ya uteuzi wa hizo kamati. Ndani ya hili kuna mawili tena either anamuogopa sana mkuu hivyo ikabidi aombe maelekezo. Au wamepewa maelekezo kwamba jambo lolote bungeni kabla halijafanyika GO AHEAD Lazima itoke kwa Rais mwenyewe. Na hiyo imekuwa dhahiri kwa kuwa mwenendo wa bunge la awamu ya tano alipohuru kama Katiba Inavyotaka. Hivyo naona umetumia lugha ya kupamba, lakini ukweli ni kwamba hajajikwaaa ili tayari bunge lipo chini ya Rais.

2. Kupitishwa kwa zile report nje ya bunge kumevunja kanuni zote za miongozo ya Bunge. Na je ni kwa nini ile report haikujadiliwa kuna assumeption moja, kwamba majadiliano kati ya wabunge kuhusu hizo report kungeibua makubwa na mambo mazito zaidi.

Kwa hivyo unachosema kwamba amejikwaa hapana sidhani kama alijikwaa ila nayeye labda ameona aende kwa trend ya Dr. Tulia, kwa sababu ni dhahiri huyo Mama(mteule wa Rais) anaimendea hiyo nafasi yake kwa sababu anafuata maagizo kama yalivyotelewa.
 
Bunge letu limekwepa jukumu lake la msingi, la kuishauri na kuisimamia serikali katika majukumu yake ya kila siku kwa niaba ya wananchi. Najutia kodi yangu kutumika na bunge kwa malengo tofauti. Hata dhana ya bunge ni muhuri sasa haipo. Nyaraka nyingi za serikali zinawafikia walengwa bila muhuri huo.
 
Ndugai atangazwe adui wa Taifa kwa kulidhalilisha bunge , ameitia aibu nchi , amejidhalilisha mwenyewe binafsi na ameidhalilisha familia yake .
 

Wanakuja wenzio waliochelewa kama wewe, aidha kwa makusudi ama kutojielewa!!!
 
Chambuzi safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…