Mimi binafsi tangu kilipotokea kisingizio ni zamu ya supika mwanamke,niliona janga tulilolitafuta,mambo yote ya manufaa kwa taifa yalizorota na kuzoroteshwa.Na vituo vilivyofuata ni milima na mabonde hadi kupatikama mtwawala na hadi kung'ooka kwa Nzee ya Galilaya na kupekea kukwea kwa mrithi wake ambaye leo anatamani kuwa mtwawala kama aliyemng'oa Nzee ya Galilaya.Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo.
Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe hayo maudhui kwa niaba ya wananchi.
Kidumu chama cha mapinduzi
Nagongelea msumali..maana alikua Jiwe hapa aliimbwa sana kama Mungu leo wamemsahau na mambo yake. Yule bint yake kwenye interview anasema mwanzo walikua na marafiki wengi sana ila kwasasa hamna ,ila naona bi Mkubwa bado hajajifunza.Watanzania ni taifa la.wanafoki namba 1 duniani
Hapa kwa mama ni pagumu sana. 2030 tutafika tumechoka sana.Nagongelea msumali..maana alikua Jiwe hapa aliimbwa sana kama Mungu leo wamemsahau na mambo yake. Yule bint yake kwenye interview anasema mwanzo walikua na marafiki wengi sana ila kwasasa hamna ,ila naona bi Mkubwa bado hajajifunza.
Anyway muhimu sote futi 6 zinatuhusu.
Ooh kumbe?Hili bunge halikua na ridhaa ya wananchi 2020
Kauli kama hizi tuwashambulie hadharani kabisa kama Gwajima.Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo.
Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe hayo maudhui kwa niaba ya wananchi.
Kidumu chama cha mapinduzi
Spika aliye wehuka lazima awe hivyo anafanya asichotumwa na anatumwa asichofanya.Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo.
Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe hayo maudhui kwa niaba ya wananchi.
Kidumu chama cha mapinduzi
Huwa nikiona aibu sana Spika mwanamke akiamrisha wanaume kukaa chini , it is not in African culture at all, hilo bunge la kina Betina binafsi siangaliiMimi binafsi tangu kilipotokea kisingizio ni zamu ya supika mwanamke,niliona janga tulilolitafuta,mambo yote ya manufaa kwa taifa yalizorota na kuzoroteshwa.Na vituo vilivyofuata ni milima na mabonde hadi kupatikama mtwawala na hadi kung'ooka kwa Nzee ya Galilaya na kupekea kukwea kwa mrithi wake ambaye leo anatamani kuwa mtwawala kama aliyemng'oa Nzee ya Galilaya.