ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Nichukue wasaa huu kumpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Job Ndugai kwa kazi nzuri inayopendeza ya kuhakikisha Bunge linakuwa na nidhamu. Kitendo cha leo alichokifanya Mh. Spika ni kuhakikisha Bunge lipo salama na kanuni zinafuatwa, nitoe rai kwa Wabunge wote kuheshmu mamlaka bila kujali vyama vyao.
Spika Ndugai chapa kazi, wananchi tunakuunga mkono.
Spika Ndugai chapa kazi, wananchi tunakuunga mkono.