Malima Chacha
Member
- Oct 11, 2020
- 9
- 17
Boss , Ndugai alipelekewa majina ya wabunge wa viti maalum walioteuliwa na CHADEMA na tume ya uchaguzi NEC.Mvunja sheria hawezi kupelekewa taarifa ya sheria aliyoivunja.
Kumwandikia barua ndugai juu ya kuvuliwa uanachama kwa hao Covid 19 wa Chademab ni sawa na kuhalisha kitendo kibaya cha uvunjifu wa sheria kilichofanywa na Spika, kitendo cha kuwaapisha "wanachama wa chama" kuwa wabunge bila ridhaa ya chama.
Kitendo tu cha kumuandikia barua ni sawa na kubariki uchafu alioufanya. Hiyo ni sawa na mtu aje kumchukua binti yako kwa nguvu na kumfanya mkewe halafu wewe unamuandikia barua huyo mtu kwa heshima kumtaarifu juu suala la mwanao badala ya kumchukulia hatua za kisheria, ndugai inatakiwa apelekwe mahakamani kwa kuvunja sheria wazi kwa kiburi.
boss , Ndugai alipelekewa majina ya wabunge wa viti maalum walioteuliwa na CHADEMA na tume ya uchaguzi NEC.
Kama kweli mbona NEC walikuwa wanajichanganya? Tarehe 20/11/2020 walisema hawajapokea majina (ukitaka ushahidi wa video nitakuwekea). Tarehe 27/11/2020 baada ya CHADEMA kusema majina ni fake wakaibuka wakisema walipokea majina tarehe 19/11/2020 kisha kamati ya NEC ikakaa tarehe 20/11/2020 kuchagua majina ya wabunge na madiwani kutoka kwenye majina waliopokea. Huu mbona ni mkanganyiko unaodhihirisha uongo mkubwa.boss , Ndugai alipelekewa majina ya wabunge wa viti maalum walioteuliwa na CHADEMA na tume ya uchaguzi NEC.
Mkuu, unaargue kama mtu layman kabisa asiyeelewa mambo. Sasa unataka speaker afanyie kazi habari za kusikia kutoka kwenye press conference? Chadema wasipopeleka barua rasmi ya taarifa maana yake ni kwamba hao wamama wataendelea kutambuliwa kuwa wabunge halali. Itakula kwa chadema!Sasa yeye ni kiziwi asiyesikia sekeseke hii yote iliyotokea???, anashindwa hata kuwasiliana na NEC???
Bunge haliwezi kuendeshwa kwa hearsay...Mnyika kasema hapeleki barua?
Kana uteuzi kimaandishi sio kupitia press ambayo mtu anaweza kwambia sijaisikia...Lakini CDM haikuwahi kuwateua hao akina mama.Wameghushi nakala .Ni wabunge hewa
Vuta hisia wana kukamata wewe umeghushi vyeti vya form 4 wakati wao ni mabingwa wa kughushi nyaraka.
Hivi wewe unawaza kisawa sawa kweli?.Ndugai mbona amewahi kuwafukuza akina Halima Mdee na Ester Bulaya bungeni Mara kadhaa,hapo hakuwanyanyasa?,Ccm mmewahi kumfukuza Sofia Simba na wenzake,Mliona chadema inasema kitu?,CCM mliwapiga na kuwajeruhi hao alina Mdee mbona tulinyamaza?.Usiwe punguani.Chadema inakwenda kupotea rasmi. Ukidhalilisha kinamama malipo yake ni makubwa.
Onesha baruaboss , Ndugai alipelekewa majina ya wabunge wa viti maalum walioteuliwa na CHADEMA na tume ya uchaguzi NEC.
Onesha barua ya kuwateua iliyopelekwa kwanzaMkuu, unaargue kama mtu layman kabisa asiyeelewa mambo. Sasa unataka speaker afanyie kazi habari za kusikia kutoka kwenye press conference? Chadema wasipopeleka barua rasmi ya taarifa maana yake ni kwamba hao wamama wataendelea kutambuliwa kuwa wabunge halali. Itakula kwa chadema!