Spika Ndugai asikia 'uchungu' wa makinikia lakini aonesha dalili ya kukataa 'pipi/ sukari/ maziwa'

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,609
6,826
Ni pale wabunge wa upinzani walivyotoa hoja ya maRais wastaafu wahusika waunganishwe kwenye taarifa ya pili ya makinikia, ndipo alipowaambia kuwa nao wana mawaziri wakuu waastafu wakikamatwa wasilalamike. Je, huo uchungu aliousema jana ni uchungu kweli kutoka moyoni kwani iweje anakataa 'pipi/ sukari/ maziwa' ambayo yataondoa huo uchungu?

Soma zaidi kwa kufuata link hii Spika awakumbusha wapinzani kuwa nao wana mawaziri wakuu

Source: MCL website
 
Back
Top Bottom