ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
Yaani hilo ndo swali langu siku zote; tatizo ni kwamba madactari wetu hawana viwango au ni tatizo la vifaatiba. Mi natumaini kuwa itafika siku katika hii awamu ya tano, hawa miungu watu wataacha kwenda kutibiwa nje kwa gharama kubwa ya walipa kodi. Hebu Mungu amjaze raisi wetu hekima na utashi; mawaziri wajawe na hofu ya Mungu wafanye kazi kwa weledi na kuweka mipango endelevu ya kuondoa kabisa huu utegemezi. Tumechoka!!
hivi vongozi wa india nao wakiugua wanafanyiwa uchunguzi wap?