johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,150
Nyie watu, Mbunge kugombana na DC kwa majukumu ya kikazi ni issue binafsi?Ngoja tuvujishe meseji za jiwe ili na yeye ajipime. Mambo binafsi ya watu unasemaje hadharani? Eti mke wa mtu kwani yy keshawatumia wake za watu marangapi?
Mbunge wa jimbo la Gairo Na Agent wa Youtong Sourthern of Sahara Na anamiliki Hotel kadhaa Hapa nchinishabiby ni mfanyabiashara?
Mwenye picha ya DC ailete tuthaminishe.
Good point!Nyie watu, Mbunge kugombana na DC kwa majukumu ya kikazi ni issue binafsi?
Jamaa anajifanyaga tinduatindua kweliMbunge wa jimbo Moja Dodoma Na Agent wa Youtong Sourthern of Shahara
Alikuwa anatafuna Mbunge mmoja wa jimbo Moja la Dar anaetoka Chama tofauti Na chake