Spika Ndugai ana jukumu la kumuita mbunge wa Gairo, Shabiby kwenye kamati ya maadili kwa kumtumia sms zisizofaa DC wa Gairo!

Mke wa mtu sumu, sijui mwenye mke anajiskiaje anaposikia Message za mke wake mkulu anazisoma
 
Mi mmoja wapo kati ya wale tunaopenda watoto ila utoto hatupendi! ikabidi nifukunyue picha ya huyo dc kwanza..! Then nikaona si haba sana. Swali ni je hizo text jiwe zimemkutaje au ilijifowad kwa jiwe? ukute dc alikua anakazakaza ili amnyoe jamaa pesa ndefu ndo waelewane. Hamna kesi hapo kuiba mke wa mtu faini elfu sabini tu dadeki
 
Natofautiana na jiwe kwa mambo mengi ila kwa ili la kusimamia nidhamu na uchapakazi nampongeza sana, nimewahi kukaa wilaya ya gairo kwa shughuli fulani, ni aibu na fedheha kwa chama cha mapinduzi kuwa na mbunge wa aina ya shabiby!! Jamaa ni zaidi ya mchafu, kimatendo na kitabia, ifike hatua watu sampuli ya Shabiby wakae pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Job Ndugai ambaye ni Spika wa bunge anawakilisha jimbo la Kongwa na mfanyabiashara maarufu mh Ahmed Shabiby yeye anawakilisha jimbo la Gairo.

Bado wananchi tunasubiria kuona kama Shabiby ataitwa na Spika kwa yale anayotuhumiwa nayo lakini sisi kama chama tunaweza tukachukua maamuzi magumu zaidi dhidi ya mbunge huyo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu mbona variable zako hazina mahusiano, jimbo la Gairo la Shabiby kuwa jirani naKongwa kwa Ndugai dhidi ya ninyi wenye chama kuchukua maamuzi magumu.

Anywayz,,, Shabiby mwanike wa ukaya bado Gairo ndo chaguo letu,, mtoto wa magoweko,tajiri mswahili jioni anatafuna nyama ungurod kona,afta ol ata Mkuu wa nchi alishatoa maelekezo kwamba aombe radhi tu!!!
 
Natofautiana na jiwe kwa mambo mengi ila kwa ili la kusimamia nidhamu na uchapakazi nampongeza sana, nimewahi kukaa wilaya ya gairo kwa shughuli fulani, ni aibu na fedheha kwa chama cha mapinduzi kuwa na mbunge wa aina ya shabiby!! Jamaa ni zaidi ya mchafu, kimatendo na kitabia, ifike hatua watu sampuli ya Shabiby wakae pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu funua hilo blanketi tuone huo uchafu wa kimatendo na tabia za muheshimiwa sana wa Gairo kama ni kweli ya mungu kwani isije kuwa kweli hamuwapendi watu wenye ukwasi na mnataka waishi kama mashetani?
 
Ndio maana bunge linatuhumiwa kua dhaifu, maana limekua likihangaika na mbo ambayo sio ya msingi, mara wamhoji Mdee, mara sijui CAG mara wamhoji Shabiby. Actually hawaeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom