and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jul 2, 2025 #1 Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 16,320 Reaction score 23,011 Jul 2, 2025 #2 Yawezekana una jambo. Hembu andika vizur ueleweke shekhe
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,991 Reaction score 132,356 Jul 2, 2025 #3 Ina maana yule wa sasa atawekwa benchi Ova
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,522 Jul 2, 2025 #4 Anthony Mavunde
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,812 Reaction score 4,409 Jul 2, 2025 #5 Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Jul 2, 2025 #6 Moshi25 said: Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya Click to expand... Akina Msambatavangu miaka mitano yote anazungumzia nguvu za kiume
Moshi25 said: Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya Click to expand... Akina Msambatavangu miaka mitano yote anazungumzia nguvu za kiume
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,065 Reaction score 21,544 Jul 2, 2025 #7 Pomoja na tulia kujitahidi kuwa chawa na kulifanya bunge kuwa kibogoyo lakini anang'olewa?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jul 2, 2025 Thread starter #8 mrangi said: Ina maana yule wa sasa atawekwa benchi Ova Click to expand... Uwaziri
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,640 Reaction score 65,112 Jul 2, 2025 #9 Spika tulia atulie tu, maana hata ubunge atanyimwa. Mama wa kung'ong'a watu alimng'ong'a kwa kujifanya anampigia debe kwa RC wa Mbeya mpya.
Spika tulia atulie tu, maana hata ubunge atanyimwa. Mama wa kung'ong'a watu alimng'ong'a kwa kujifanya anampigia debe kwa RC wa Mbeya mpya.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,938 Reaction score 41,100 Jul 2, 2025 #10 Kiongozi Mkuu pia anatakiwa awe mpya..
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,761 Reaction score 55,464 Jul 2, 2025 #11 Wanadai atatokea Zenji
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,116 Reaction score 1,249,272 Jul 2, 2025 #12 Aiseeeeeee
okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,236 Reaction score 3,492 Jul 2, 2025 #13 Moshi25 said: Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya Click to expand... Wakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba??
Moshi25 said: Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya Click to expand... Wakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba??
Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,117 Reaction score 9,649 Nov 7, 2025 #14 Ngoja tuendelee kuvuta uradi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,432 Reaction score 185,045 Nov 7, 2025 #15 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,021 Reaction score 46,847 Nov 7, 2025 #16 okiwira said: Wakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba?? Click to expand... Kwahiyo ukikaa na wanawake wenzako unaona kabisa wanaume hawana Cha kujivunia
okiwira said: Wakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba?? Click to expand... Kwahiyo ukikaa na wanawake wenzako unaona kabisa wanaume hawana Cha kujivunia
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,471 Reaction score 829,874 Nov 7, 2025 #17 johnthebaptist said: Anthony Mavunde Click to expand... Umerudi kwa ID yako maarufu😂
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 14, 2025 Thread starter #18 mrangi said: Ina maana yule wa sasa atawekwa benchi Ova Click to expand... Naam
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 14, 2025 Thread starter #19 much know said: Pomoja na tulia kujitahidi kuwa chawa na kulifanya bunge kuwa kibogoyo lakini anang'olewa? Click to expand... Kweli
much know said: Pomoja na tulia kujitahidi kuwa chawa na kulifanya bunge kuwa kibogoyo lakini anang'olewa? Click to expand... Kweli
Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 3,019 Reaction score 2,183 Nov 14, 2025 #20 Uliona mbali.