feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,039
- 18,752
Wakuu habari yenu,,jana nilikua nasafiri Dar to Songea ebhana tabu tupu gari hazitembei zinanyata hatari wa mbele ni wa mbele spidi mwisho 80 ukifika 85 inapiga alarm...ukiwa unasafiri masafa marefu utakaa mpaka matako ya yanaomba pooo[emoji3] [emoji3]
Kwa staili hii ajali zitapungua dadeki ila waongeze angalau ifike 100[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kwa staili hii ajali zitapungua dadeki ila waongeze angalau ifike 100[emoji35] [emoji35] [emoji35]