Hapo juu kwenye red, God fearing?........ nani ambaye mwenye hofu ya Mungu kiukweli ukweli anayeweza kufanya hicho kitu? Na hicho kipengele cha mwisho (namba 5) kina umuhimu gani katika kuchangia hizo sperm au huyo mdada anaweza kubadili maamuzi baadae ili jamaa awe anaendelea kutifua mzigo? ina maana kuchangia sperm hadi awe na upendo wakati kid hatoonana nae?