speed yangu ya internet kwa open vpn siku ya leo hii hapa

kichwanazi

Member
Apr 11, 2013
89
9
asubuhi kwenye idm,speed ilikuwa hivi...
tomas.JPG

saa hizi jioni kwenye torrent,speed ipo hivi..
mat.JPG

tfc.JPG
 
Lakini hamna Evidence kuonesha kama unatumia OpenVPN au VPN client yoyote
Hizo wanatumia ambao hawajaingia deep bna wale wazee wa ku-google, na kuchukua software au tutorial youtube, ila walioingia kwenye vitabu haina haja.... kwani mkuu VPN si tunnel tu ndugu, tunnel inategemea unachomokea wapi, hata hizo software ziliandikwa kwa code tu, windows nayo inakuja na built in support ambayo hata bila software unapiga mzigo, sema wengi hukimbilia software sababu Interface imerahisishwa
 
I want to know this please kama hautomind elezea njia unayotumia
Lkn upande wa Pili usiwaponde watumiaji software kuwa ni watu kuangalia Youtube,google maana hata njia unayoitumia usifikiri haiko Youtube au Google vinginevyo haujui maana ya Tutoriaal za youtube na Google na sijui utajiitaje msomi

All in all nilishotaka kujua au tunachotaka kujua nikuwa unatumia kitu gani au njia gani ya Tunnelling ndo maana nikasema hamna evidence kuonesha unatumia VPN/Tunneling softwares/Proxy servers
 
Note kua hakuna sehemu niliyosema mimi msomi... Point yangu ime-lie kua wengi huingia google na kuanza keywords za kuchakachua net au wengine kuongeza speed etc ni vizuri kama mtu hata kama ni ku google angeanza kusoma hivi vitu origin yake ni ipi, ni nini kinaongelewa mtu akisema tunneling, zipo aina ngapi zinakwenda vipi, kuliko kufika tu na kudownload software na kupachika namba namba na kulipa...

Sasa kwa kua tunaelewana ngoja nikwambie mimi nafanyeje, bila shaka unajua tunneling, sasa nachofanya ninafanya tunneling na server moja tu hata sio nyingi, sema hiyo moja ipo kwenye the fastest country in the world! we msakuaji najua utakua umenisoma, sasa sitaji nchi hapa maana kuna raia si unajua wazee wa kublock, kwa kua hiyo server sio shared kama ambazo wengi wenye Tunnel Guru au PD Proxy maana hizo ni unalipia unatumia, ile sio shared so inakua faster zaidi, najua hapo tumekwenda pamoja mkuu...
 
ok nimekusoma... sasa sanjali na ILO inavyoonesha ISP wako au Modem yako ni 3G+ vinginevyo kama ni modem zetu hizi za 7.2Mbps huwezi fika hapo hata kwa dawa
Hivo unaweza Ongeza Addition kuwa unatumia Modem kama Huawei 3131 yenye 21.6Mbps au zile za 48.8Mbps au hata 100Mbps sasa which applies to your case
 
Modem natumia kubwa sana ndio na si hii inayokuja na kampuni za simu za bongo, hii ni 4G inakimbia 100MBPs sema imechakachuliwa na yenyewe maana ni ya mitandao ya nje sema inapitia frequency ileile sawa na mitandao ya huku tu so mzigo unaenda vzr ukitupia simcard.. Japo mkuu hata modem ya 7.2MBPs trust me unaweza ukaachieve hata 3MBPs, its 100% possible na ni kitu nishawahi kukiona nikiwa natumia mimi mwenyewe
 
how? mkuu unatufumbua macho
 
msaada wako tafadhali?
 
Note kua hakuna sehemu niliyosema mimi msomi... Point yangu ime-lie kua wengi huingia google na kuanza keywords za kuchakachua net au wengine kuongeza speed etc ni vizuri kama mtu hata kama ni ku google angeanza kusoma hivi vitu origin yake ni ipi, ni nini kinaongelewa mtu akisema tunneling, zipo aina ngapi zinakwenda vipi, kuliko kufika tu na kudownload software na kupachika namba namba na kulipa...

Sasa kwa kua tunaelewana ngoja nikwambie mimi nafanyeje, bila shaka unajua tunneling, sasa nachofanya ninafanya tunneling na server moja tu hata sio nyingi, sema hiyo moja ipo kwenye the fastest country in the world! we msakuaji najua utakua umenisoma, sasa sitaji nchi hapa maana kuna raia si unajua wazee wa kublock, kwa kua hiyo server sio shared kama ambazo wengi wenye Tunnel Guru au PD Proxy maana hizo ni unalipia unatumia, ile sio shared so inakua faster zaidi, najua hapo tumekwenda pamoja mkuu...

mmh ngoja nami nijaribu nikishindwa ntahitaji msaada wako..............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
3MB/s halafu unasema inasumbua? Ha ha haaa!!! unafurahisha kweli wewe.
Sababu hua inapiga hadi 9MBPs ikiwa kwenye fast servers ka YouTube, note hiyo video naiangusha from youtube...
Na torrent seeders wakiwa safi hadi 5MBPs ndio hua kawaida
 
Hii kitu ya mkonga, ma ISP wetu wa kibongo kwa speed hiyo?..................prove me wrong, I stand to be corrected
maISP wetu, mbona speed hizo wameziachia ni wewe tu jinsi ya kuipata... factors za speed ya net huanzia from as low as speed ya computer yenyewe, speed ya kuandika harddisk yako etc.. factors kibao, sasa ukiweka safi kuanzia chini ukimalizia huku juu utapata net moja safi sana ikichezea 2MBPs unaanza kuionna iko slow... Enzi hizo hata 400KBPs nilikua nikiachieve naenda kuhadithia kua duh leo inakimbia, ila siku hizi ikiwa hiyo nalia kabisa
 
Back
Top Bottom