Speed ya Tigo 3g kama EDGE!!!!

BAOSITA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
368
Reaction score
188
Hawa Tigo wanashangaza sana,tangu wiki iliyopita wafanye marekebisho ya mtandao wao kilichobaki kwa wengine ni uozo mtupu!Kwa yale maeneo kuanzia Ubungo kurudi Kimara,Tigo inashika 3G signals zaidi ya Bar 3 na sometimes full lakini ukicheki speed ni exactly ya GPRS/EDGE!!Sasa,hii ni danganya toto ama nini?Wengine tumejiunga na package ya Max tushushie mafile makubwa sasa ni week nzima nakumbana na downloads zisizozidi 20KB kwenye IDM.
N.B Nimeextend mpaka modem juu ya paa kama antenna lakini speed bado!Nimetest kwa jirani zangu pia the same **** happens!
Nambieni wengine mlio maeneo hayo speed zenu zikoje.
 

dah shukuru we unapata 20 me 3kbps alaf 3g mehamia voda hapa
 
aaah, mi napata 3.6kps kwa airtel lakini, sijui hwa jamaa wana matatizo gani na mitandao yao, spidi ni ndogo sana.
 
Pole mkuu. Hakuna utawala wa sheria, mambo ni hovyo hovyo tu hapa Bongo.
 
kuweni wazalendo jaman tartbu ndo mwendo
 
Pole mkuu. Hakuna utawala wa sheria, mambo ni hovyo hovyo tu hapa Bongo.

sasa speed ikiwa ndogo ndo washtakiwe? Utawala wa kikapitalist huu so kama hujaridhika unatakiwa uhame mtandao maana si huduma ya lazima kwamba lazma utumie internet ya tigo
 
kha! uzalendo ndio nini? watu wanaibiwa pesa zao na wageni wewe unasema wasubiri.
mkuu, huo ndo upuuzi wa watz sasa!!

yani nanunua product kwa matumizi maalum!!, then i cant use it, while umeshachukua hela!!

Kudadeki!
 
Kuhama si tatizo mkuu kama ukirudisha modem yao na wakupe hela yako poa tu watu watahama.Lakini uhame uingie gharama ya kununua nyengine,kesho tena hivyo hivyo hiyo noma mkuu.
 

dah mpaka juu ya paa? We mkali
 

Mkuu nilidhani nipo peke yangu,mana maeneo nilipo 3G full network lakini hyo speed ikimaintain 10kbps imefikia kipindi nashukuru,yani speed ni mbovu ajabu,nadhani kuna matatizo ya badhwidth alocation,hii ni speed ya GPRS tena iliyochoka duh
Kumbe na wengine mwaipata

Tafakari
 
na mm same problem nipo mbezi full 3g lkn speed edge.
Dah,nlijua niko peke yangu,hawa jamaa hawafai.Sasa nadhulumiwa hela yangu nliyonunulia bundle
.Hii nchi hii!!!!
 
...ni kweli mkuu tgo speed inasumbua sana huku kwetu,almost wiki nzima sasa,na b4 hapo speed ilikuwa nzuri tu,sasa nashanga!:embarassed2::embarassed2:
 
sasa speed ikiwa ndogo ndo washtakiwe? Utawala wa kikapitalist huu so kama hujaridhika unatakiwa uhame mtandao maana si huduma ya lazima kwamba lazma utumie internet ya tigo

Nadhani bado niko sahihi mkuu, kwani matangazo yao yanaeleza ni internet yenye kasi. Sasa kama hupati hiyo speed wanayoinadi huoni kwamba vigezo na masharti(utawala wa sheria) haukuzingatiwa? Kama walikuahidi speed kubwa halafu wanakupa speed ndogo huo ni wizi. Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kukuta ubabaishaji kama huu. Kwakua sisi wenyewe hatujielewi ndio maana nao wanafanya wanavyotaka.
 
wadau tusiingize siasa kwenye mambo ya teknolojia..yeye amewaeleza ili mmshauri wengine mnaleta porojo za kisiasa
 
shkuru unapata iyo edge je ungekosa internet kabisa
Hakuna cha kushukuru hapa,hela yangu inauma,yaani nlijua nafaidi downloads mwezi mzima sasa now zimekwenda siku 11 bila kudownload chochote cha maana!Unaona ni jambo la kushukuru hilo?
 
suluhisho:vodacom moderm k3570-z pamoja na line ya airtell utapata mbps 3.6 popote pale utaenjoy maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…