speed ya internet

speed ya internet

slab

Senior Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
119
Reaction score
27
habari wakuu ntawezaje kuongeza speed ya intrnet yangu wakuu msaada wenu natumia pd proxy!11
 
habari wakuu ntawezaje kuongeza speed ya intrnet yangu wakuu msaada wenu natumia pd proxy!11

yaani hapo labda cjakupata vizuri hiyo speed ni ndogo kwenye;


  • kudownload'


  • kusuffer au ki vipi mkuu!!

pia labda ungejaribu kufafanua ni speed kiasi gani ambayo unaipata.

BILA SHAKA UTASAIDIWA VIZURI....

NB ..speed zetu zimetofautiana kulingana na maeneo tulipo..
 
Back
Top Bottom