Sio tigo pekee ni mitandao yote hawaweki vitu kama hivyo,its just a business language.Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza shilingi 450 kwa siku.
Kwa wale ambao mmetumia tigo internet, mnaweza kunisaidia kujua hili? Hasa hasa wale wenye kutumia "Max".
Speed ninayozungumzia siyo ile ya normal surfing, bali ile ya kudownload large files na ile ya media streaming kama youtube.
Natanguliza shukrani.
Airtel na zoda hata zantel mbona wako wazi tu, 3.6Mbps na kuendelea
Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza shilingi 450 kwa siku.
Kwa wale ambao mmetumia tigo internet, mnaweza kunisaidia kujua hili? Hasa hasa wale wenye kutumia Max
Speed ninayozungumzia siyo ile ya normal surfing, bali ile ya kudownload large files na ile ya media streaming kama youtube.
Natanguliza shukrani.
Mkuu, tiGO kwa sasa hasa hapa town(DSM) ndio mtandao pekee kwenye speed ya kuelewaka na hisiyo badilika badilika kama mitandao mingine....
Mimi nimekua mteja wa tiGO kwa takribani miezi 6, ninafurahia huduma ninayo ipata toka kwao..... Ila kama ulivyo sema mitandao mingi haiko wazi juu ya speed connection wanayotoa kulingana na package usika...
Mimi natumia package ya tigo ya Standard Month ambayo ni TSH, 450,000, Speed yake ni ya juu kulinganisha na mitandao mingine....Connection speed yake inacheza kwenye 2.8mbps na download speed yake ni kwenye 240kbps hadi 310kbps bila kupungua chini ya hapo na ni unlimited.
Tizama (picha chini) utamu ninao upata toka tiGO
Hivyo basi na kushauri ununue modem ya tigo.....Kumbuka usijiunge na Package za kwenye simu, ambazo zina anzia TSH 450 kwa siku hadi TSH 15,000 kwa mwezi, speed yake ni ya chini sana..... Package za modem zina anzia TSH 3,000 per day hadi 250,000 kwa mwezi..
Ndio mkuu, kama nilivyo sema hapo juu kuwa nimekuwa mteja wa tiGO kwenye huduma ya internet takribani miezi 6 hivi...mmmmh Uncle Rukus TSH 450,000 kwa mwezi?
Asante kwa masahihisho mkuu, una jua sisi wengine tumezoea namba kubwa teh teh teh!Mkuu nafikiri figure sahihi ni Tshs. 45,000 per month na wala sio Tshs. 450,000. Kwa gharama ya Tshs. 45,000 unapata 4 GB kwa mwezi!!!! I am using the same same service from TIGO.
Tiba
Hiyo 2.4Mbps ni Connection speed or download Speed?Natumia TTCL banjuka , angalau napata Unlimited kwa saa, hapa kwa sasa hivi nime cheki speed ni 2.4 Mbps , nalipa kwa masaa, yani sh 1000 kuaniza 12 asubuhi - 12 jioni, sh 800 12jioni - 3 usiku , sh 500 3 usiku mbaka 12 asubuhi , baso exoensive ila angalau naweza call it Unlimited
Aithee Uncle Rukathi apo kwenye internet download manager ulikuwa unadownload yale mambo yetu nn... hehehehe!Mkuu, tiGO kwa sasa hasa hapa town(DSM) ndio mtandao pekee kwenye speed ya kuelewaka na hisiyo badilika badilika kama mitandao mingine...
Mimi nimekua mteja wa tiGO kwa takribani miezi 6, ninafurahia huduma ninayo ipata toka kwao..... Ila kama ulivyo sema mitandao mingi haiko wazi juu ya speed connection wanayotoa kulingana na package usika...
Mimi natumia package ya tigo ya Standard Month ambayo ni TSH, 45,000/= Speed yake ni ya juu kulinganisha na mitandao mingine....Connection speed yake inacheza kwenye 2.8mbps na download speed yake ni kwenye 240kbps hadi 310kbps bila kupungua chini ya hapo na ni unlimited.
Tizama (picha chini) utamu ninao upata toka tiGO
Hivyo basi na kushauri ununue modem ya tigo.....Kumbuka usijiunge na Package za kwenye simu, ambazo zina anzia TSH 450 kwa siku hadi TSH 15,000 kwa mwezi, speed yake ni ya chini sana..... Package za modem zina anzia TSH 3,000 per day hadi 250,000 kwa mwezi..
Aithee Uncle Rukathi apo kwenye internet download manager ulikuwa unadownload yale mambo yetu nn... hehehehe!
CAUTION: DO NOT TAKE THIS SERIOUSLY.
hehehehe!
mkuu rukus umenifaa sana, asante, nimeambiwa airtel wana modem za 7.2 MBps, lakini lazima uwe na mtu 'inside' uweze kuzipata, na speed inakaribia 7.