Wakuu natafuta speed meter (dash board) ya Isuzu Bighorn ya 1998 yenye TOD kama ianvyoonekana kwenye pich hapa chini inayofanya kazi.
Mwenye nayo ani PM as soon as possible.
Kwa yeyote anayejua naweza pata wapi hii kitu Wakuu mnijuze.
View attachment 145339