speech

Hata kama inawezekana ni za nini? Au unataka kukumbukia KASI, NGUVU NA ARI MPYA!
 
wewe acha kutuzuga hapa, unataka hotuba za kikwete za nini. Huo muda wa kusikiliza nenda kapalilie bustani utavuna mchicha kwa afya yako kwani ni pumba tu. Kama vile, majina ya wauza madawa ya kulevia ninayo, majina ya mafisadi ninayo na majina ya wakwepa kodi ninayo ila achukui hatua madhubuti kuwakabili. Shit. kafanye kazi nyingine tafadhali, ushauri wa bureeeeeeeee, ila sijakukataza kuzitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…