Lipia Google drive si ghali au kafanye exchange ukiwa na top upnazipenda redmi mkuu niko na note 5 nakula raha na nzuri ni chinese version asikwambie mtu ila nlitaka ku upgrade mpaka note 8 due to storage issues hi iko na 4/64gb note 8 ina 6/128gb that is the issue kuna data nakosa wapi niziweke bad enough mega wamenipa 40 days nsipolipia plan yoyote naloose data
ishu tu naona price ya note 8 imechangamka kidgo
Ni kweli, kuhusu app developers wamepewa offer ya kutotozwa kwa mauzo ya apps zao kwenye App Gallery kwa miezi 24, baada ya miezi hiyo kuisha watakatwa kwa asilimia 30 tu ya mauzo. Hii itasaidia kampuni kupata app developers wengi na hasa kwakuwa App Gallery ni ya tatu baada ya Google Playstore na Apple app store.Yeah inatumia micro kernel,hii wanawapa advantage google Android maana issue kubwa ni kumiliki platform ya apps na si OS Tofauti sababu ni ngumu sana kuwashawishi developers kuanza development za apps kwaajili ya platform mpya
Ndio maana wameona kwenda na option hii kitu ambacho tayari kinaexist
Kwa China stores za ios hazikupata wateja wengi katika robo ya kwanza ya mwaka 2020. Wenyeji wa China walisusia kununua simu zenye asili ya Marekani kwasababu ya Huawei kupigwa Ban na Marekani. Badala yake walinunua simu za Huawei na nyingine kutoka Vivo, Oneplus, Xiaomi, Oppo n. kHii ni vita ya Huawei vs ios,naskia ios zimeanza kupigwa discount kwasababu ya panic
Hapa google yuko pembeni anatazama uku anakula porp corn
Unaonekana unapenda kuwa kwenye Microsoft ecosystem. Sad to see Windows Phone are gone. Hizo simu nilikuwa nazipenda sana.Comp launCherView attachment 1693073
Still itakua ngumu app gallery kumfikia play store ukiangalia app gallery by default unaipata kweny products za Huawei lakini play store Karibu simu zote zinazotumia android imo by default.Ni kweli, kuhusu app developers wamepewa offer ya kutotozwa kwa mauzo ya apps zao kwenye App Gallery kwa miezi 24, baada ya miezi hiyo kuisha watakatwa kwa asilimia 30 tu ya mauzo. Hii itasaidia kampuni kupata app developers wengi na hasa kwakuwa App Gallery ni ya tatu baada ya Google Playstore na Apple app store.
Huawei offers developers up to 100% of AppGallery revenue
Huawei offers developers up to 100% of AppGallery revenue. The manufacturer is trying to encourage developers to adapt their apps to its platform.www.google.com
Hii vita ya ios na huawei, lakini hii trade war sijui kama itaendelea na kuwa moto kama zamani,na kiuhalisia huawei wamegain pakubwa sana.Kwa China stores za ios hazikupata wateja wengi katika robo ya kwanza ya mwaka 2020. Wenyeji wa China walisusia kununua simu zenye asili ya Marekani kwasababu ya Huawei kupigwa Ban na Marekani. Badala yake walinunua simu za Huawei na nyingine kutoka Vivo, Oneplus, Xiaomi, Oppo n. k
Xiaomi Redm5tecno
Hii ni Spark kama sijakosea
Stock UI hua hazitofautiani sana kwa Chinese brandXiaomi Redm5
Ile Harmony os au Hong Meng(kwa China) Ni OS ambayo iko based on Android.Uzuri wake itakuwa ina run accrocs devices na inasemekana iko faster kuliko Android ya Google. Kinachokosekana pale ni Google apps. Lakini watumiaji wanaweza kupata apps za Google pia.
Kuwa na OS itakayokubalika dunia nzima siyo kitu kidogo. Angalia hao Blackberry OS,Microsoft Windows phone OS na Nokia SYMBIAN hizo hazikufaulu kuteka ulimwengu kibiashara kwa muda mrefu wameishia kutengeneza devices zinazotegemea OS zilizo na watumiaji wengi.Kwa HUAWEI Huo ni mwanzo wa kufikia malengo ndugu. Wanaweza kupoteza wateja wengi sana kama watahama mazima,halafu kuna kitu kinaitwa 'custom Rom' hichi ndicho wanakitumia kwenye simu zao ili watumiaji wao waweze kupata experience ya tofauti ukiachilia mbali ile native Android Rom. Kingine ni masuala ya biashara yanawafanya watengeneze devices zinazotumia OS ambazo zinatamba duniani.Uwezo wa mchina kufikiri umefika mwisho. Nilitegemea atakuja na OS yake km ilivyo IOS
Anakuja na OS yake halafu unaweza kuinstall app za Android?
Cheki hizi OS zinavyojitegemea
1. Android
2. IOS
3. Blackberry OS
4. Microsoft windows phone
5. Nokia symbian
Kuwa na OS itakayokubalika dunia nzima siyo kitu kidogo. Angalia hao Blackberry OS,Microsoft Windows phone OS na Nokia SYMBIAN hizo hazikufaulu kuteka ulimwengu kibiashara kwa muda mrefu wameishia kutengeneza devices zinazotegemea OS zilizo na watumiaji wengi.Kwa HUAWEI Huo ni mwanzo wa kufikia malengo ndugu. Wanaweza kupoteza wateja wengi sana kama watahama mazima,halafu kuna kitu kinaitwa 'custom Rom' hichi ndicho wanakitumia kwenye simu zao ili watumiaji wao waweze kupata experience ya tofauti ukiachilia mbali ile native Android Rom. Kingine ni masuala ya biashara yanawafanya watengeneze devices zinazotumia OS ambazo zinatamba duniani.
Ficha ujinga wakoUwezo wa mchina kufikiri umefika mwisho. Nilitegemea atakuja na OS yake km ilivyo IOS
Anakuja na OS yake halafu unaweza kuinstall app za Android?
Cheki hizi OS zinavyojitegemea
1. Android
2. IOS
3. Blackberry OS
4. Microsoft windows phone
5. Nokia symbian
Ficha ujinga wako
Ficha Ujinga kwa mara nyingine tenaWenye mahaba na mchina wanaumia sana.
Mchina hana kitu kipya kwenye mapinduzi ya teknolojia. Unaenda dukani kutafuta iPhone unakutana na takataka ya mchina yenye jina la iPhone ikiwa na chipset ya mediatek.
Ha ha ha
Unfortunaly, Chrome has stopped. Ukienda kununua flash drive, harddisk au memory card ndiyo utajua kuwa mchina anatakiwa kuchomwa moto mchana kweupe.