Safi sana Mkuu inaonekana hupend customization
Tuko android 10 naamini ni mengi yamebadilika mpaka sasaKuna uzi kama huu ulishatembea huko nyuma sikumbuki lini, well ukuta wa kioo cha simu yangu una mipasuko mingi na camera imefifia. Ngoja nione kama itanakili taswira mnato...
Kwishney...
Tuko android 10 naamini ni mengi yamebadilika mpaka sasa
Mipasuko na camera haina shida chukua screenshot
Tuko android 10 naamini ni mengi yamebadilika mpaka sasa
Mipasuko na camera haina shida chukua screenshot
Aisee inawezekana ukabackup ukascreenashot then ukarudisha bila kuipoteza its possibleNilifanya hiyo screen shot ila kumbe kuna taswira ya mtu muhimu sana kwangu na sitaki kuitoa maana hizo taswira sinazo tena kwenye simu hivo nikiitoa ili nichukue screenshot sitapata tena hizo taswira.
All the best with other fellas.
Aisee inawezekana ukabackup ukascreenashot then ukarudisha bila kuipoteza its possible
Anyway sio compulsory pitia pitia za wengine humu u may see something kind'a of enthusiastic
😀😀Mkuu itafute weka wallpaper utupieNatafuta wallpaper ya JE USHAWAHI KULA TUNDA KIMASIARA.....
Okay ila icho kibantu sijaelewaThanks for understanding, hayo ma back up na restore kwangu ni mashokolo mageni....
Ngoja niendelee kukodoa macho labda naweza shawishika..
Okay ila icho kibantu sijaelewa
Ukiwa na interest ya kujifunza hayo
marestore na backup ur more than welcomed technology is everywhere
Wacha tutulie kwenye siti
Kuna uzi kama huu ulishatembea huko nyuma sikumbuki lini, well ukuta wa kioo cha simu yangu una mipasuko mingi na camera imefifia.
Ngoja nione kama itanakili taswira mnato...
Kwishney...