Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
UongoMkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
UongoMkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
UongoKituo cha mafuta cha haifa kimechomwa na makombora ya Iran kinawaka moto muda huu
Al Jazeera Kuna baadhi ya images walichelewa kuzipata maana Al Jazeera wanaripoti kutoka Jordan hawaruhusiwi ndani ya Israel.Tupo hapa Al Jazeera English
Kapigwa akiwa Iran au akiwa Yemen?Kiongozi wa Wahouth inasemekana ameuliwa na Israel muda huu
🚨🚨🚨⚡️ BREAKING:
Israeli media reports the assassination of Abdul-Malik al-Houthi, leader of Yemen’s Ansar Allah (Houthi) movement.
Madhara yanaanza kuonekana soon.Tupo hapa Al Jazeera English
Nipo BBC News hapa liveAl Jazeera Kuna baadhi ya images walichelewa kuzipata maana Al Jazeera wanaripoti kutoka Jordan hawaruhusiwi ndani ya Israel.
Wacha nicheki BBC na Fox au CBS news maana wao wako ndani ya Israel kabisa.
Uongo
Kama unakaa sehemu umeme wa buku buku tuma namba ya luku tukuwekee wa 10,000 na wewe uone al jazeera wapo live kila kitu kinaonekanaMkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
Hao Ynet wametuma hiyo pic ya Haifa.Nipo BBC News hapa live
Mzee tulia madhara yataonekana tu.Kama unakaa sehemu umeme wa buku buku tuma namba ya luku tukuwekee wa 10,000 na wewe uone al jazeera wapo live kila kitu kinaonekana
Kilichokuwa kinatokea jana na leo ni vitu viwili tofauti
minapenda sana kuona vita,nimeathirika tokea mdogo napenda movie za vita.Uongo umeona wapi?