Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

peaci

Member
Jul 29, 2016
34
25
Habari wana jamvi.

Hapa ni sehemu maalum ya kuuza Nyumba, kiwanja na shamba. Ni sehemu ya kukutanisha muuzaji na mnunuzi moja kwa moja au kupitia Dalali.

Habari na matangazo yatolewe kiusahihi yakiambatana na picha ya Mali inayouzwa, mahali inapopatikana, bei n.k
 
Mkuu hii iko Chamazi kule kwenye uwanja wa Azam, au kabla ujafika kule? Je bei inapungua?
Hii ipo Chamazi kwa Mkongo, kwa uwanja wa Azamu huko mbele zaidi km unaelekea Mbande baada ya kuvuka bamia. Bei inapungua Dada karibu
 

- Ina Vyumba 4 vya kualala
-2 master bedroom
- Sebule kubwa na sehemu ya chakula
- Choo cha umma
- Jiko
-malumalu na dirisha za aluminium
- Maji na umeme
- Fremu ya duka 1
- Fensi na parking ya gari

Nyumba iko Chamazi.
Bei: 47,000,000.
 
KIWANJA HEKA 3 NA NUSU BEI MIL.6.5 kipo musese mpakani mwa w/kibaha na w/kisarawe, maji,kokoto,mchanga,mawe sawa na bure vinapatkana hapahapa, kipo center kabisa barabarani hiyo road unaweza pta uktokea kibaha inatokezea kisarawe,chanika serious buyer 0764726071 NA 0624078252 NI CHANGU SI DALALI.
 

Attachments

  • SITE.jpg
    5.5 KB · Views: 108
NYUMBA INAUZWA MUSESE, ina chumba cha kulala,choo,jiko,sitting room,umeme wa solar,imepauliwa nusu,ipo center barabarani jirani ina ukubwa wa kiwanja 35+35 bei mil 8 imejengwa mwezi wa pili..serious buyer 0624078252.
 

Attachments

  • HOUZ.jpg
    4.4 KB · Views: 114
Nauza kiwanja kipo pugu kajiungeni!nicheck +255713381980 bei poa
 
Mkuu hiyo ardhi inakubali mazao gani? Au ndio kokoto tupu huwezi kupanda chochote? Je bei inapoa? Ni pm plse..
 

Ni nyumba ya kisasa, ina vyumba 4 vya kulala, 2 master bedroom, Jiko, store, fensi, na parking Kubwa ya gari, tiles nyumba nzima, kisima cha Maji na tank la litre 5000, Maua, miti na bembea za watoto n.k Nyumba iko Kinguge Mbagala . bei milion 100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…