Special Thread : Vifaa bora vya ujenzi, changamoto za Ujenzi.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,566
Reaction score
28,477
Habari Wana JamiiForums,.


Nimewaza juu ya kuwa na thread maalum kuhusiana na vifaa bora vya ujenzi, mahali pa kuvipata, tahadhari n.k


Pia tuweze kushirikishana changamoto mbalimbali za ujenzi, gharama, tahadhari na mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba, wakati wa ujenzi na hata wakati wa kukamilisha ujenzi yaani finishings.


Naomba tupate kujifunza kutoka kwa wale wenye uzoefu kwa kupeana taarifa sahihi kwani mara nyingi tumekuwa tukipotoshana na wengine kukatishwa tamaa kwa taarifa za uongo.



Naomba kuwasilisha.


Cc: Invisible Paw Rider JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…