Special Thread El Nino Tanzania 2026: Updates za Mvua ya El Nino maeneo mbalimbali nchini

Special Thread El Nino Tanzania 2026: Updates za Mvua ya El Nino maeneo mbalimbali nchini

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,001
Reaction score
8,292
Kulingana na vyombo na utabiri wa hali ya hewa, uwezekano wa mvua za El Nino kutokea ni 100%, iki maanisha kwamba iko hapa tayari, sasa ni kuanza kumwagika tu.

Tuliambiwa tutegemee mvua hizi kuanza mwishoni mwa Septemba na mwanzoni wa Oktoba. Na kilele chake kuwa Novemba hadi Disemba.

Uzi huu utatumika kuweka updates, hali ya maeneo tofauti tofauti, na kujuliana hali kwa ujumla kama sehemu kunahitaji msaada basi uwafikie kwa haraka.

Tushee picha na video ya hali itakavyokuwa katika maeneo yetu.
 
Kelele nyingi wakati hata mvua zenyewe hazijaanza vipi kama zisipotokea😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Hii nchi bwana 😂😂😂😂
Yaani tunapoteza muda kujadili mambo ambayo hayapo tunasahau yaliyopo na yanaendelea kututesa kama inshu ya umeme
 
Kulingana na vyombo na utabiri wa hali ya hewa, uwezekano wa mvua za El Nino kutokea ni 100%, iki maanisha kwamba iko hapa tayari, sasa ni kuanza kumwagika tu.

Tuliambiwa tutegemee mvua hizi kuanza mwishoni mwa Septemba na mwanzoni wa Oktoba. Na kilele chake kuwa Novemba hadi Disemba.

Uzi huu utatumika kuweka updates, hali ya maeneo tofauti tofauti, na kujuliana hali kwa ujumla kama sehemu kunahitaji msaada basi uwafikie kwa haraka.

Tushee picha na video ya hali itakavyokuwa katika maeneo yetu.
Hakutakuwa na mvua kubwa, wala hakutakuwa na madhara.
Mvua kubwa zenye madhara tutazisikia kwa nchi jirani.

Mvua pekee kubwa sana itakayonyesha hapa, ni kuondokewa na mtu mmoja mkubwa sana, mrefu kuliko watu wote, mpana na mnene kuliko watu wote. Mzito na mgumu kuliko watu wote.
Na watu wote watafurahia kufurikishwa kwake
 
Je, umetengeneza mazingira yako kukabiliana na tahadhari hii?

Maana sisi watanzania ni matomaso, hadi tuone ndio tunakurupuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom