Watanzania kawaida sio watu wa makelele sana, wala sio watu wanaopenda sifa, ingelikua majirani zetu wa Uganda, hizo kelele zingefufua hata waliozikwa kaburini

Hapana, mimi Kenya ninawaheshimu sana, siwezi kuwasema vibaya, kuna bint ninataka kwenda kutoa mahari. Mimi nijuavyo wakenya ni watu humble sana, hawana makelele wala hawapendi kujisifia.