Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,274
- 14,535
Wanayanga wapo bize macho kudo uwanjani ngoja waje usije kukimbia
Mwanaume rijali lazima ashave nywele 😏😏
Unatutafutia kesi wala majani ww siyo buleMwanaume rijali lazima ashave nywele
Kabisa mkuu, nikafikili upo uwanjani unakodoa macho!, umeachwa na usafiri nini?Acha kuilinganisha Yanga na vitu vya hovyo
Wapo njiani...
Eee ndo sisi mzeeHii ndio akili za Watanzania, nothing more.
CCM shikilieni hapo hapo kwenye simba na Yanga mana hapo ndipo pamejaa wapumbavu ambao ndio wapiga kura.