Special thread Linux operating system.

nethighlife

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
55
Reaction score
22
Habari za leo ndugu.
Nimeunda huu uzi maalumu kabisa kwa ajili ya ku deal na Linux operating sytem.
Wataalamu wa hii OS karibuni tubadilishane mawazo na namna ya kuitumia.
Zipo distros nyingi za Linux kama Ubunt, Linux Mint, Kali Linux, Linux mint, Debian, Fedora n.k
Let us talk its features like securities, stability, server-side role etc.
 
Nataka weka os ya ubuntu lakini naskia ukiweka inafuta kila kitu kwenye HDD je ni kweli??
 
Buhahahhah kwanza umenichekesh {UBUNYU} HAHA Mchapio wako noma noma sana

Naanza kwa kuku jibu hapana kufuta kutategemeana na ulivochagua kwenye installation steps mimi imentokea mwaka huu kukosea nakufuta kila kitu io kitu na si kwamba ilikuwa mara yangu ya kwanza kuweka Ubuntu Debian but makosa nliyatambua pale nlipo futa vitu vyangu kuwa nli install kama super user feature mpya ilo kuja na 16.04 LTS na ku chagua Format partition nzima {500GB} bila kuselect option ya ( upgrade but leave user data ) na kuchagua don leave user data nkajua ita wipe kile kipartition kina chobeba OS tu kumbe naji tafuna mwenyew nilipoteza kumbu kumbu zangu zamuhim sana na hasara kubwa nloipata katika io super user nikwamba sikuweza kurud back 2 windows {unapo format ka super user partition zote za windows hutoka ii hu change sytem Bios moja kwa moja na kuweka ubuntu partition } na system bios ikisha beba ubuntu partitions ukingiza cd au usb ilo beba windows ina boot kawaida lkn ukifika sehem ya kuchagua partition ili uformat huon kitu una bak umw bung'aa ilinchukua mda wa miez mi 4 nkiwa na jangaika uk nKule kutafa solution mpaka nkaw na post maswal kilacku ubuntu forums napewa njia zna dunda nkakata tamaa cku 1 nkakut jam katoa easy solution kuijarbu ika chomoa ase tang cku io mm na nilux hatuna urafik kabsa but na expetienc nayo na naipenda haha namambo meng ya kueleza but ngoja nishie hapa mwenye swal au kukosoa adondoke apo chin
 
Chacha95 nimekupata mkuu!!! lakini kwa hii version mpya sijaona option ya kuwe ubuntu alongside windows kutoka kwenye web yao kama ile version ya iliyopita au ni mpaka nitumie flash au cd???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…