Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Acha upuuzi wewe, kwanini huyo mke ulimkuta bikra, hivi vitu vya kawaida sana.
Kama ulimkuta mke wako uchumbani akiwa kashaliwa kwanini uumie sahivi, Fanya tu kama ulisaidiwa ile siku uliyochoka baada ya kupiga show na mchepuko
Kwamba ukimkuta mkeo sio bikra ni halali kuliwa nje? Ndoa ni zaidi ya huo ubikira au kutokuwa bikira
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Kuchapiwa mke maumivu Yake usipime.In most incidences gunia za mkaa huwa zinahusika sana
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Make kwanza nicheke
 
Back
Top Bottom