billgate98
Member
- May 10, 2018
- 54
- 28
Ni fani inayohusu Uchunguzi wa Afya ya Binaadamu kwa kufanya vipimo mbali mbali ili kuweza kuelewa ni tatizo gani mgonjwa linamsumbua au mtu kuweza kuelewa Afya yake.Naomba kujua fani hii inahusiana na nini
DamuMkuu naomba kujua ni vipimo gani, vinaweza kuwa ordered kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
=H.pylory direct kwa kutumia whole blood, serum and plasma.Mkuu nisaidia majina kamili ya hizo investigation. Mbili za mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndio maana cha damu ni primary na stool ni confirmation yake. NOTE: Confirmatory test ya H.pylory ni stool antigen.Ili kuweza kupima vidonda vya tumbo kwa usahii kipimo kizuri ni stool ila ukisema damu unaweza mpma kila mtu ukakuta ana vidonda vya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Medical lab technologist/scientist. (Huyu mfanykaz wa maabar ya afy ya binaadam)Anayefanya kazi katika maabara ya binadamu(diagnostic lab) anaitwaje kiingereza?iwe binafsi au hospitalini?
Anayekarabati au anayetengeneza vifaa vya maabara vilivyo na hitilafu anaitwaje?
Asante mkuu,1. Medical lab technologist/scientist. (Huyu mfanykaz wa maabar ya afy ya binaadam)
2.Biomedical engineer . (Mtengeneza vifaa)
H.pylori testMkuu naomba kujua ni vipimo gani, vinaweza kuwa ordered kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stool occult blood na h.pylori test(serology)Mkuu nisaidia majina kamili ya hizo investigation. Mbili za mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app