hakuna haja ya kuzungumzia uchaguzi wa 2020
uchaguzi wa mwaka huo bunge zima litakuwa CCM tupu
watahakikisha hakuna anayeshinda kwa namna yoyote ile.
cha kufanya ni kujaribu kuwaelimisha wabunge wa CCM wakubali kututetea kwenye bunge hili lianaloendelea